Video: Mwanzilishi wa label ya Def Jam na Phat Farm Amsifia Flaviana Matata 'Mtazame Hapa'

Mkongwe na mwanzilishi wa label ya Def Jam na nguo za Phat Farm, Russell Simmons amemsifia Miss Universe Tanzania wa zamani, Flaviana Matata wakati akihojiwa na watangazaji wa kipindi cha asubuhi cha kituo cha radio cha jijini New York, Marekani HOT97.



“Flaviania Matata is fine as hell,” alisema Simmons kwenye mahojiano hayo. Russell amesema alikutana na Flaviana akiwa bado mdogo.



“She was the most beautiful girl I thought I have never seen,” aliongeza. Russell alisema baada ya kukutana na Flaviana alimshauri azikate nywele zake. “She is so fine, Flaviana is so fine, she is like her (Lupita Nyong’o) in someways, people thought.. she was at my book party, they thought that she was her. They thought Flaviana was the actress (Lupita). She is really beautiful, she is gorgeous, and they both gorgeous.”
Previous Post Next Post

Popular Items