Video: Jay Mo, Profesa Jay & Juma Nature wavaa gwanda za kijeshi kwenye ‘JWTZ’
byNews Tanzania-
0
Wasanii manguli wa Tanzania ambao majina yao yanaanzia na J, Juma Mchopanga aka Jay Mo, Joseph Haule aka Profesa Jay na Juma Cassim ana Nature wameingia studio kufanya ngoma mpya iitwao ‘JWTZ’.