Picha: Utengenezwaji Wa Video Ya Wanatetemeka Ya Queen Darlen, Diamond Ndani.

Msanii aliyewahi kuhit na wimbo wa Maneno Maneno aliomshirikisha Dully Sykes, sasa amerudi tena na Remix ya ngoma ya Shilole Inayoitwa 'Nakomaa na Jiji' katika khali ya kuonyesha ukali na bado ana moto na gemu ameamua kutoa remix aliyoiita 'Wanatetemeka' alimshirikisha Shilole katika kiitikio. katika video hii utapata kumuona mkali wa Bongo Flavour na Hit maker wa My Number 1 Diamond Platnumz.

Tazama picha hizi hapa chini alafu sio vibaya ukiniambia wanapendeza kama wakifanya Collabo moja yaani Diamond Platnumz na Dada yake Huyo Queen Darleen





Previous Post Next Post