Picha: Mjengo anaoujenga Diamond Platnumz umefikia hapa

The Super Star Diamond Platnumz ameamua kushare picha zinazoonyesha mjengo wake anaoujenga ambao utakuwa na SwimingPool na Gym mahala ulipofikia kwa sasa.

Kupitia mtanao wa Instagram Dimond Platnum ameshare picha hizi zinazoonyesha mjengo wake unavyoenedela uku mafundi wakiendelea na ujenzi na ni katika siku ya jumaapili Diamond alipotembelea Mjengo wake huo ulio katika matengenezo.





Well its time na Diamond kumaliza nyumba yake, Hii Picha Nyingine kuhusu ujenzi unaoendelea wa nyumba yake.




Previous Post Next Post

Popular Items