Picha: Mchumba wa Paul Wa P Square anita na Birdal Shower

Siku chache zijazo member wa P Square Paul Okoye atafunga ndoa na mchumba wake Anita Isama na kama kawaida marafiki ni watu muhimu kwenye maisha yako haswa wali wanaokuwa karibu na wewe kwenye shida na raha.



Marafiki wa mchumba wa Paul, Anita wamefanya bridal shower kabla kufikia siku kubwa kwenye maisha yake.

Taza picha chace za kwenye Bridal Shower iyo..!









Previous Post Next Post

Popular Items