Picha; Mastaa waliopendeza zaidi "Most Loved Looks" kwenye tuzo za Oscar 2014

Tazama picha za mastaa waliovalia na kupendeza zaidi katika tuzo hizo za Oscar zilizofanyika jana katika jiji la Los Angels Nchini Marekani, ingawa mastaa walikuwa ni wengi lakini Mastaa haw andio walioonekana kuvalia na kupendeza zaidi ya mastaa wengine.


Hawa ndio mastaa walioshine sana katika utoaji wa tuzo za Oscar 2014...!




SANDRA BULLOCK



AMY ADAMS

LUPITA NYONG'O

JESSICA BIEL

CATE BLANCHETT

JENNIFER LAWRENCE

CHARLIZE THERON


MARIA MENOUNOS
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa