Picha: Huyu ndiye mke mtarajiwa wa Hemedy PHD

Mkali anayefanya vizuri katika Tasnia ya Bongo Movie na Muziki, Hemedy Suleiman aka PHD ameamua kuwa ‘good boy’ na kutulia na msichana mmoja ambaye sasa yupo tayari kumtambulisha hadharani.



“So proud to call you my woman…..its official,” ameandika staa huyo wa filamu na muziki kwenye picha inayomuonesha akiwa na mpenzi wake aliyoiweka Facebook.

Wakati huo huo, Hemedy ametangaza ujio wa single yake mpya, On My Wedding Day.

“So proud to announce my new coming single “on my wedding day” produced by sei records…inatoka mwezi wa 4/2014..after single ya rest of my life this is my brand new song…#coming soon.”

Previous Post Next Post