Picha: Hivi ndivyo H-baba anavyomsaidia mke wake kumlea mtoto wao

Mwanamuzi Maarufu wa Bongo Flava H-Baba Hivi Karibuni amekutwa amembeba mtoto wake mgogoni kwa kutumia mbeleko kama wabebavyo wamama huku akiwa hana habari na mtu.




Alipoulizwa alisema  'napenda kumsaidia mke  wangu'(Flora Mvungi ) Kulea mtoto kwani ni
Jukumu letu wote wawili.'


Previous Post Next Post