Picha: Hii ndio cover ya Album mpya ya 50 Cent ‘Animal Ambition’

Rapper 50 Cent ameanza kutangaza album yake mpya baada tu ya kusitisha mikataba yake na record lebel kubwa zilizosimamia kazi zake kwa muda mrefu. 



Animal Ambition ndio jina la cd hii ya 50 Cent, Kutengeneza attention zaidi 50 Cent kaweka majina mawili ya nyimbo zinazokaribia kutoka kwenye album hii ambazo ni








 “Hold On”na “Don’t Worry ‘Bout It” ft Yo Gotti inayotoka March 18 2014. Album hii inatoka June 3 2014.
Previous Post Next Post