Picha: Harusi ya kimila ya Peter Okoye wa P-Square ilikuwa hivi!

Tarehe 22 March ilikuwa big day kwa star wa kundi la P-Square Paul Okoye na mpenzi wake wa miaka kumi Anita Isama, waliofanikisha harusi yao ya kimila iliyofanyika katika mji wa Port Harcourt, Nigeria na kuhudhuriwa na ma-star mbalimbali.


 Paul na Anita kabla hawajabadili mavazi

Licha ya harusi hiyo kuhudhuriwa na watu wengi maarufu lakini pia ilioneshwa live na kituo cha runinga cha HIP TV ambacho kinaonekana kupitia DSTV.

 Bwana na bibi harusi: Paul Okoye na Anita

Baadhi ya watu maarufu waliohudhuria ni pamoja na Pacha wa bwana harusi Peter Okoye na mke wake, Omotola Jalade, Ini Edo, M.I., Banky W, D’banj, Ice Prince, Jude Okoye, Iyanya, Naeto C, Banky W na wengine.



Peter Okoye na mwanaye








Banky W

Darey na M.I

Ice Prince

Iyanya, Naeto C

Jude Okoye

Omotola

Previous Post Next Post