Most Overexposed Celebrities in 2014 ni Justin Bieber na Kim Kardashian 'waongoza orodha ya Forbes '

Forbes imetoa orodha ya mwaka ya ‘Most Overexposed Celebrities’, na kwa mwaka huu Justin Bieber ndiye ameshikilia nafasi ya kwanza huku mke mtarajiwa wa Kanye, Kim Kardashian akifuatia katika nafasi ya pili.




Mastaa wengine walioko kwenye list hiyo ni pamoja na Lindsay Lohan katika nafasi ya nne, Miley Cyrus namba tano, bila kuwasahau ndugu wa Kim, akiwemo mama yake Kris Jenner namba sita, Kourtney na Khloe wakikamata tisa na kumi.

Top 10 of Most Overexposed Celebrities in 2014:
1.Justin Bieber – 76%
2.Kim Kardashian – 61%
3.Lindsay Lohan – 59%
4.Miley Cyrus – 57%
5.Honey Boo Boo – 56%
6.Kris Jenner – 55%
7.Nicole “Snooki” Polizzi – 55%
8.Paris Hilton – 53%
9.Kourtney Kardashian – 50%
10.Khloe Kardashian – 49%
Previous Post Next Post