Kanye West na Kim Kardashian walipamba jarida la Vogue, Ndio Mastaa wenye Couple inayoongelewa zaidi Duniani

Toleo jipya la jarada la jarida la Vogue limetoka jana (March 21) na limepambwa na picha ya wana ndoa watarajiwa, Kanye West na Kim Kardashian.




Kanye West na mama mtoto wake wanaonekana wamepoz huku wakiwa ndani ya mavazi yanayoonesha kama vile wako katika tukio la kufunga ndoa ama kuvishana pete.

Katika maelezo yaliyotolewa na jarida la Vogue, mtoto wao North West pia amehusika katika jarida hilo hivyo kuikamilisha familia nzima.

“Watch out behind the scenes video with Kim Kardashia, Kanye West, and baby North on the April cover shoot with Annie Liebovitz.” Yanasomeka maandishi ya jarida hilo.
Previous Post Next Post