Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete jana March 21 alilihutubia Bunge Maalum la Katiba baada ya kupata mwaliko wa Mwenyekiti wa Bunge hilo Mheshimiwa Samuel Sitta,ameongea vitu vingi sana ikiwa ni pamoja na suala la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kama aukupata muda wa kumsikiliza, Msikilize hapa chini..!
Tags:
Social