Harusi ya Paul Okoye wa P-Square iliyofanyika Jumamosi iliyopita Ilikuw hivi

Katika siku ya Jumamosi iliyopita  ya March 22,  Pacha wa kundi la muziki P-Square, Paul Okoye na mpenzi wake wa muda mrefu Anita walifanya harusi ya kimila huko Port Harcourt iliyohudhuriwa na mastar wengi wa Nigeria.



Tazama hapa kipande kidogo cha video ya harusi hiyo ambayo pia ilirushwa live na kituo cha Hip Tv cha Naija.


Previous Post Next Post