Wastara aandika ujumbe kwa ajili yako wewe Shabiki wake Usome hapa...

"..Maisha ni mapambano na katika kupambana nayo kuna vizingiti vingi tena virefu utanue mguu kwa hatua kubwa kuvuka hivyo vizingiti, ukiamua kusonga mbele usigeuke nyuma pambana na kilichopo mbele yako kutimiza malengo yako katika maisha.." by - Wastara Sajuki

Source:BongoMovie

Previous Post Next Post