Mwaka 2014 umeanza vizuri kwa mwanadada Johari Chagula baada ya hivi karibuni kuvuta usafiri mpya kabisa aina ya Mark X ambayo thamani yake inasemekana kuwa zaidi ya Tshs. Millioni 25 za kibongo.
Tazama picha mbili za mwanzo hapo chini zikimuonyesha Johari na Usafiri wake aina ya Mark X
Picha:Instagram