Video: Mtazame Rais Kikwete Akihojiwa na Cnn

Rais Kikwete alihojiwa na Amanpour jijini London, ambako wakuu wa nchi wanakutana kutafuta suluhisho la uwindaji haramu kabla hawajachelewa. “Huu ni wehu sasa, haiwezekani kabisa.. ni jambo kubwa.”



“Wakati wa uhuru Tanzania ilikuwa na tembo wapatao  350,000 .. mwaka Tanzania ilikuwa na Tembo 1987 kulikuwa na tembo 55,000 waliosalia.” Hayo ni maneno ya Rais Jakaya Kikwete aliyezungumza na mtangazaji wa CNN, Christiane Amanpour kuhusu namna Tanzania inavyopambana na uwindaji haramu.


Tazama Video hapa chini Full Inteview ya Rais Kikwete na CNN











Mtangazaji huyo pia alimuuliza kuhusiana na suala la haki za mashoga barani Africa na ambapo Kikwete alisema itachukua muda kwa watu wa Afrika kukubali masuala ambayo nchi za Magharibi zinakubali. Na alipoulizwa kama angetaka kuona hilo linatokea, Rais Kikwete Anapumua kisha anamjibu “Siwezi kusema hilo kwa sasa”.
Previous Post Next Post