Video: Mez B – Shemeji

Pengine ule msemo wa wahenga, usemao Kimya kingi huja na kishindo kikubwa ndicho kinachotokea kwa msanii Mez B aliyetamba na ngoma iitwayo “Kama Vipi” aliyomshirikisha Ray C mwaka 2008. Ni kimya kirefu tangu asikike kwenye tasnia ya muziki.


Ameachia video yake inayokwenda kwa jina “Shemeji” Itazame Hapa Chini...



Previous Post Next Post

Popular Items

ZANZIBAR WAANZA KUTUMIA DIGITALI