Tazama video mpya kutoka kwa Msanii anayetokea Nigeria aitwaye Ice Prince jina la wimbo ni Jambo jina la wimbo ni la kiswahili, kwa mtanzania amabaye ni shabiki wa Ice Prince ni vyema Ukamsikiliza na kuitazama video hii kujua nini kafanya katika wimbo wa video hii.
Watch it downn here....
Watch it downn here....