Makoteo ya Kidato Cha Nne Mwaka 2013

Baada ya majibu ya mtihani wa Taifa wa Kuhitimu kidato cha nne kusubiliwa kwa muda mrefu, hatimaye yametoka na ayako hapa viwango vya ufaulu vipo kama ifuatavyo

Kwa kuanza tutazame wale wanafunzi 10 bora na shule 10 bora katika mtihani wa kuhitimu elimu ya Kidato cha nne mwaka 2013


Hizi ndio shule 10 bora matokeo kidato cha nne 2013:

1. St.Francis Girls (Mbeya)
2. Marian Boys (Pwani)
3. Feza Girls (Dar-es-salaam)
4. Precious Blood (Arusha)
5. Canossa (Dar-es-salaam)
6. Marian Girls (Pwani)
7. Anwarite Girls (Kilimanjaro)
8. Abbey (Mtwara)
9. Rosmini (Tanga)
10. DonBosco Seminary (Iringa)


Hawa ndio wanafunzi 10 bora matokeo kidato cha nne 2013:

1. Robina S Nicholaus (Marian Girls - Pwani)
2. Magreth Kakoko (St. Francis Girls - Mbeya)
3. Joyceline Leonard Marealle (Canossa - Dar-es-salaam)
4. Sarafina W. Mariki (Marian Girls - Pwani)
5. Abby T Sembuche (Marian Girls - Pwani)
6. Sunday Mrutu (Anne Marie - Dar-es-salaam))
7. Nelson Rugola Anthony (Kaizirege - Kagera)
8. Emmanuel Mihuba Gregory (Kaizirege - Kagera)
9. Janeth Urassa (Marian Girls - Pwani)
10. Angel Ngulumbi (St. Francis Girls - Mbeya)





Matokeo yatapatikana muda sio mrefu kuanzia sasa kupitia tovuti zifuatazo:


http://www.necta.go.tz/
http://moe.go.tz/
http://tanzania.go.tz/
http://pmoralg.go.tz/
http://moez.go.tz/


Pia, matokeo yanaweza kupatikana kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno (SMS) kupitia namba 15311. Jinsi ya kutuma ujumbe, Andika:MatokeoXNamba ya kituoXNamba ya Mtahiniwa


Mfano: matokeoxS0101x0503
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA