Picha: P-Funk amkumbuka Mangwea,Aamua Kutembelea kaburi la Ngwair

Producer wa Bongo Records, P-Funk Majani wiki hii amelitembelea kaburi la Ngwair mjini Morogoro.

Majani akiwa kwenye kaburi la Ngwair

Mtayarishaji huyo wa muziki alikuwa anatokea bungeni Dodoma ambako alienda pamoja na watu wengine kuhimiza kutambulika rasmi kwa shughuli za sanaa kwenye katiba mpya ya Tanzania.

“Visit Ngwair’s grave on my way back from Dodoma, it was very emotional,” aliandika Majani jana.
Previous Post Next Post