Tarehe 22 ya mwezi huu wa pili, Mkali anyehiti na My Number 1 Reix na ngoma zingine kali Dimaond Platnumz alifanya sow katika jiji la Mwanza pale katika viwanja vya furahisha mahala husika ambapo Diamond Platnumz alifanya show na timu yake ya wasafi, show ilikuwaikisimamiwa na CocaCla Kwanza
Tazama picha hizi hapa chinii za alichokifanya Mwanamuziki Diamond Platnumz Jijini Mwanza
Image Credit:ThisisDiamond