Mwanamuziki Lady jay Dee a.k.a Jide kwa sasa yupo kwenye mazoezi ya Karate ili kuuweka mwili wake uwe vizuri na ujijenge kwa lolote litakalo kuwa mbele yake ili akabiliane nalo. kama jinsi jide mwenye majina mengi kama Binti Machozi na Komando sasa ameamua kufanya kweli kwa kuamuakupata mafunzo haya ya Karate kukalilisha lile jina lake la Binti Komando.