Diamond Platnumz na AY ni miongoni mwa wasanii 20 wa Afrika watakaosikika kwenye wimbo wa pamoja wa wasanii wa barani Afrika kwaajili ya mradi uliopewa jina ‘Do Afric’ unaowasisitiza Waafrika kujihusisha na kilimo. Jumanne hii wasanii hao wameshoot video ya wimbo huo.
AY akiwa na msanii mkongwe wa Nigeria, Femi Kuti
Diamond na D’Banj wakiwa studio nchini Afrika Kusini
Muimbaji huyo My Number One, Diamond alipost picha akiwa studio na D’Banj pamoja na wasanii wengine nchini Afrika Kusini, kuashiria kuwa mchakato wa kurekodi wimbo huo umeanza.
Jumanne hii wasanii hao walijumuika pamoja kwenye mkutano na waandishi wa habari
“Something VERY exciting happening in JHB today – @iamdbanj & 22 artists arriving for biggest music collab ever in Africa for #doagric,” wameandika One Campaign kwenye akaunti yao ya Twitter.
AY akiwa na msanii mkongwe wa Nigeria, Femi Kuti
Diamond na D’Banj wakiwa studio nchini Afrika Kusini
Muimbaji huyo My Number One, Diamond alipost picha akiwa studio na D’Banj pamoja na wasanii wengine nchini Afrika Kusini, kuashiria kuwa mchakato wa kurekodi wimbo huo umeanza.
Jumanne hii wasanii hao walijumuika pamoja kwenye mkutano na waandishi wa habari
Kampeni hiyo inawataka wananchi wa Afrika kuungana kwa pamoja kuwataka viongozi wao kutimiza ahadi yao ya kuwekeza asilimia 10 ya bajeti za nchi kwenye kilimo na kuwasaidia wakulima wadogo.
Mwana FA, AY na D’Banj“Something VERY exciting happening in JHB today – @iamdbanj & 22 artists arriving for biggest music collab ever in Africa for #doagric,” wameandika One Campaign kwenye akaunti yao ya Twitter.