Jarida la Glitz Africa Limetoa Fashionista Issue yao ya kufungia mwaka na katika ishu hiyo kuna list ya wanawake warembo barani Africa. Katika List hii kuna ma-super models , wasanii na mshiriki wa shindano la big brother.list nzima hii hapa chini.
Je kama wewe ni mdau na mfatiiaji mzuri wa modelas na urembo kiujumla katika swala zima la entertainment je unakubalina nalist hii waliyoitoa Jarida la Giltz Africa?
Yvonne Okoro From Ghana
Leila Lopes From Angola
Babalwa “Barbz” Mneno South Africa
Dillish Mathews From Namibia
Elham Wagdi From Egypt
Genevieve Nnaji Nigeria
Jackie Appiah Ghana
Joselyn Dumas Ghana
Lerato “Lira” Molapo South Africa