Baada ya Facebook kuinunua WhatsApp, Mtandao wa WhatsApp Wazimwa

Baada ya mtandao wa mawasiliano ya ujumbe mfupi wa simu WhatsApp kupata tatizo kwa masaa machache watumiaji wa mtandao huo wameingia kwenye mitandao tofauti na kuanza kulalamika kuhusu facebook kununua mtandao huo na kuamua kufunga huduma yake ili facebook itumike zaidi. Fahamu mmiliki wa facebook amelipia dola bilioni 19 kununua mtandao huu.



Kupitia twitter account ya whatsup walitoa taarifa kuwa walipata tatizo kubwa na wanafanya marekebisha na kuwa mtandao huo utarudi hewani baada ya muda mfupi.

Hizi ndio twit zao






Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA