Video: Mtazame Hemedy 'Phd' na Gelly wa Rymes Wakizungumzia Juu ya Wimbo wao wa The One [ Exclusive]

Bila shaka umeiskia ngoma mpya ambayo tumeitambulisha kupitia Bongo61 ambayo wamefanya wakali hawa wawili  Hemedy PHD pamoja na Gelly wa Rhyme,


Kwa kifupi, wameelezea jinsi idea ilivyopatikana pamoja na nyimbo inahusu nini kiiundani. Pia, wamengelea maudhui ya nyimbo hii na imechukua muda gani kuifanya ngoma hii…

Tazama Video Hii hapa chini Kujua Interview nzima ya Idea ya The One

Previous Post Next Post