Aitia Aston Villa Aibu Baada ya Kujitangaza kuwa ni Shoga

Mchezaji wa zamani wa klabu ya soka ya Aston Villa, Thomas Hitzlsperger ameitia aibu timu ya mpira wa miguu ya Aston Villa baada ya kujitangaza  kuwa ni shoga.

Wachezaji wenzake waliowai kucheza naye wamesema kuwa awakuwai  kugundua kama Thomas Hitzlsperger  anatabia hizo mpaka alipojitangaza na kuwatia aibuu wachezaji wa timu hiyo ya Aston Villa ijapokuwa ayipo tenA Katika timu hiyo.


Mchezaji huyo mwenye miaka 31 aliyeshinda vikombe 52 na Ujerumani na aliyewahi kuzichezea pia West Ham na Everton, aliweka hadharani habari hiyo kwenye gazeti la Die Zeit. Hitzlsperger anakuwa mchezaji maarufu zaidi duniani kujitangaza hadharani kuwa ni shoga na amesema huu ni muda mzuri kufanya hivyo.


Kiungo hiyo aliyestaafu soka mwezi September mwaka jana amesema aligundua katika miaka michache iliyopita kuwa angependa kuishi pamoja na mwanaume na kuongeza kuwa: Sijawahi kujionea aibu kwa jinsi nilivyo.”

Thomas Hitzlsperge Kabla ya Kustaafu Soka Sepetember Mwaka Jana
Previous Post Next Post