P Diddy Aingia katika Biashara Mpya ya Tequila

Baada ya kuwaletea mashabiki wake kinywaji aina ya Ciroc Vodka katika flavor tofauti tofauti, rapper Sean Comb AKA Diddy ameamua kuachia kinywaji kipya kabisa cha kifahari kwa wale wapenzi wa kuishi maisha ya high life… msanii huyu amewaletea brand new Tequila aliyoipa jina la DeleonTequila.


  P Diddy ameamua kuachia kinywaji kipya kabisa cha kifahari kwa wale wapenzi wa kuishi maisha ya high life… msanii huyu amewaletea brand new Tequila aliyoipa jina la DeleonTequila.



Sean Comb kupitia mtandao wa Instagram amepost baadhi ya picha za bidhaa hizo mpya za tequila. Pia msanii huyu alitumia mtadao huo kuwaonyesha dunia Business Partner wake Larry Schwartz, mbaye anashirikiana nae katika biashara hiyo mpya ya tequila!
Larry Schwartz & Sean Comb/Diddy
Previous Post Next Post