Rapper Young D Anunua Mjengo Kimara Suka, Ucheki hapa

Inaonekana mabao hayakuwa  mabaya kwa Rapper Young D baada ya kufungua mwaka kwa kununua nyumba iliyopo maeneo ya kimara suka jiini Dar es salaam.


 Young D

Rapper  David Geez maarufu kama Young D ame-share picha za nyumba aliyonunua huko Kimara Suka.

Rapper young D amenunua nyumba hiyo na kudai kwamba anatarajia kuifanyia marekebisho mpaka itakopofikia steji ya yeye anayoitaka.

Haya ni maendelao kwa rapper huyu na  katika umri wake, kumiliki nyumba au kununua nyumba  kwa sasasio kitu kidogo hasa kwa wanamuzii wa kurap hapa nchini kwetu.

Young D amepiga hatua kubwa na anahitaji pongezi kutoaka kwa fans wake wa kila kona.

Hizi ni ndiyo picha alizo-share Young D .







Previous Post Next Post