Picha: Huu ndio muonekano mpya wa Lisa Jensen baada ya Kupata mtoto

Ni muda sasa umepita tangu mrembo huyu apotee machoni mwa fans wake, pindi alipokuwa mjamzito na sasa amekwishajifungua na picha hapa chini zinamuonyesha jinsi alivyo sasa.

enjoy the all snaps.




Previous Post Next Post