Picha: Muonekano mpya wa kajala mwaka 2014

Katika life wengi hupitia mengi yanayofanya mtu kuwa na uwezo mkubwa wa kukata tamaa katika mipango yako ya maisha ya baadae,tukimuongelea msanii huyu maarufu katika Tasnia ya Filamu hapa Bongo ,ajulikanae maarufu kama Kajala.Unaweza kumuweka mfano mkubwa wa kuigwa cause apart from kupitia misukosuko mingi bado unaweza kuona hakujamkatisha tamaa Diva huyu ya ku-achieve haya ambayo siyo kila msanii ameweza kuwa na uwezo wakufika hapa alipo katika level hizi za Kajala.

 Kajala Masanja
  Kajala Masanja
 Kajala Masanja katika Pozi tofauti

The new Kajala now she is the CEO wa kampuni yake mwenyewe inayoitwa Kay entertainment inayojishughulisha na maswala mbalimbali ya entertainment business ikiwemo moja ya kuhusiana na maswala ya movie production. 2014 inaonekana ni mwaka wa neema kwake cause apart from being the CEO ameanza kutengeneza Movie yake mwenyewe iitwayo “LAANA” , ni movie ambayo imejaa visa vya kutosha,movie itakayokufanya ufikirie kweli huu ni mwaka mwingine na mambo mapya katika  tasnia ya movie, ni moja ya movie iliyojaa uhalisia,visa vya kutosha na quality kali sana,ni movie ya kwanza  atayotangulizwa kufungulia nayo mwaka ikiwa  ipo chini ya usimamizi wa Kay entertainment,ni movie kali sana ambayo inatarajia kufanya vizuri sana na kuteka nyoyo za mashabiki wengi wa Kajala .

 Behind the scene ya movie ya “LAANA”
Muite the new Kajala,Miss independent and the Diva,cause anastahili ,imekuwa ni ndoto ya kila msanii hapa Bongo kuweza kufanikiwa kutengeneza kampuni yake itakayoweza ku-handle kazi zake mwenyewe,

This Diva right here means business,na bado mbali na movie hiyo pia rumors has it,kupitia Kay entertainment tutarajie mfululizo wa project kali sana ,Huu ni mwanzo tu kwa msanii mwenye jina kubwa sana hapa Bongo,Kajala..Stay Tunned.
Previous Post Next Post