Picha: Wateja Wa Bangi Lukuki Wajazana Katika Maduka Ya Bangi Uko Denver Marekani

Baada ya sheria ya kuhalalisha matumizi na uuzaji wa Bangi kupitishwa rasmi katika jiji la Denver, Colorado Marekani… wateja wengi wamekuwa wakijazana katika mji huo huku wengine wakitokea nje ya mji huo kwa ajili ya kuweza kununua na kutumia bangi ambayo imehalalishwa rasmi kama moja ya kilevi cha starehe kama ilivyo kwa vilevi vingine tu.


Baada ya Colorado kuhalalisha kilevi hicho cha bangi, mji wa Oregon umeripotiwa kuwa na wenyewe upo katika maandalizi ya kuhalalisha kilevi hicho, na pia majimbo mingine sita ya Marekani yapo katika mjadala huo huo wa kuhalalisha bangi kama kilevi cha starehe :- Arizona, California, Maine, Massachusetts, Montana and Nevada

 Wateja wanaonunua Bangi wakiwa dukani
 Duka linalouza Bangi


 Mteja wa Bangi akifungiwa Bangi yake aliyoinunua Dukani hapo


 Mmea wa Bangi ukionekana katika picha

Bangi ikiwa tayari imepakiwa katika chupa tayari kwa mauzo
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA