Picha: Lady Jay Dee afungua mwaka vizuri, anunua mkoko mpya

Mambo sio mabaya kwa mwanadada Lady Jay dee baada ya kufungua mwaka na mkoko mpya aina ya range rover.
lady jay dee ameshare picha hizi na fans wake wote kupitia akaunti yake ya facebook na kuandika "My new ride. God I thank you"

zitazame picha za gari mpya ya Lady Jay Dee hapa chini.


Kama wewe ni fans wa lady Jay dee sio vibaya ukimwambia kitu kuhusiana na maendeleoa haya na jinsi alivyouanza mwaka 2014, kupitia comment hapo chini.

 Lady Jay Dee akiwa kapozi kwenye mkoko wake mpya ain ya Range

Lady jay dee alitoa halla kwa fans wake 
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA