Picha: Diamond Plutnumz na Crew yake ndani ya kenya kufanya Shoo Kubwa

Inaelekea mwaka 2014 umeanza vizuri kwa mkali wa Bongo Flavour na anayetikisa tasnia ya muziki Bongo Diamond plutnumz baada ya kupata dili ya kwenda Nairobi 'kenya' kwa ajili ya Kutoa show ya kufungua mwaka aliyoalikwa na shirika la Safari Com.

Kwa sasa Super Star huyu anahit na wimbo wa My Number 1 Remix 'Diamond Plutnumz'  aliomshirikisha Msanii Davido Kutoka Nigeria. yupo ndani ya Nairobi 'kenya' kwa ajili ya kufanya shoo kubwa kenya ambapo atatumbuiza katika hafla ya Kampuni ya simu ya kenya inayofahamika kama Safari Com.

Diamond na crew yake waliondoka Dar es salaam jana na kuwasili kenya katika sik hiyohiyo ya jana, Diamond plutnumz atatumbuiza katika ukumbi wa 'Safari calnivore,Nairobi.' 


Hizi ni baadhi ya picha alizoshare katika blog yake ya wasafi zikionyesha pindi alivyokuwa akianza safari yake Dar es salaam hadi anawasili kenya 'nairobi .. ejoy the snaps hapa chini



Diamond Plutnumz akielekea uanja wa ndege wa jk tayari kwa kuanza safari pembeni akisindikizwa na mama yake pamoja na Bodygurd wake

Diamond Plutnumz na Crew yake baada na ya kuwasili nchini kenya

Diamond Plutnumz akifanyiwa mahojiano 

Diamond akiwa katika basi walilopanda baada ya kufika Nairobi






Wakiwasili nchini kenya'Nairobi' na wasafir crew


 wakishuka kutoka kwenye Ndege waliyosafiria

Diamond Plutnumz akibonga na Rome Jones



Diamond Plutnumz


 Wasafi crew ndani ya ndege

Diamond Plutnumz akiwa na Rome Jones



Previous Post Next Post

Popular Items