Picha: Toleo Jipya la Air Jordan 1 Nouveau Pack

Kampuni ya Jordan kwa kawaida hupenda kuwashangaza mashabiki wake  kwa kutoa brand tofauti zilizo katika rangi tofauti, wakati ukiwa katika machaguzi yako jordan ndio chaguo bora kwani hutoa bidhaa zenye ubora kama jinsi walivyotoa toleo lao jipya la Air Jordan 1 Nouveau .

Air Jordan 1 Nouveau  zimetoka katika toleo mbili tofauti wakati ya kwanza ikiwa katika material ya ngzi na ya pili katka material yaplastic waliomiksi tonal wings logo, katika kutoa toleo hizi mbili Kampuni ya jordan imezingatia nvitu ving na imeongeza vitu tofauti katika Air Jordan 1 Nouveau na zinapatikana katika rangi tofauti ikiwa ni  ‘Nouveau Black’ features black, white, and red.

Toleo hili jipya linapatikana VIA

Tazama picha za Air Jordan 1 Nouveau toleo jipya hapa chini..








Previous Post Next Post

Popular Items