New Music: Hemedy PHD & Gelly wa Rhymes – The One

Hemedy Phd mapema mwishoni mwa mwaka jana aliahidi kuachia ngoma mpya mapema mwa mwaka 2014..Na ile ahadi imetimia siku ya jana alipoachia ngoma yake aliyofanya kwa ushirikiano na Gelly wa Rhymes iitwayo “The One”

Hii hapa Isikilize…



Previous Post Next Post