New Music: Belle 9 -Wanitaka

Najua ni wengi watakuwa wanaifahamu nyimbo hii ya belle 9, Kwa wale wanayoifahamu wanaweza kuisikliza kwa mara ya pili au ata 3, Belle 9 ni Msanii Mzuri anayependwa na wengi kwa aina ya muziki anaofanya, Anajua nini mashabiki wanataka na  Kujua Kubadilika katka beats tofauti kama jinsi alivyofanya katika beat hii ya wimbo huu wa wanitaka.

Sikiliza hapa ngoma mpya iitwayo Wanitaka kutoka  mkali wa kuimba nchini Belle 9



Previous Post Next Post