Muigizaji mahiri wa action movies Hollywood Marekani Vin Diesel, amekuwa akimkumbuka actor mwenzake na rafiki yake wa karibu sana Paul Walker ambaye amefariki mwishoni mwa mwaka jana kwa ajali mbaya ya gari akiwa na mshkaji wake Roger Rodas. Paul na Vin wamekuwa wakiact wote katika movie series za Fast & Furious ambazo ni moja ya movies ambazo zimetokea kupendwa na kukubalika sana katika soko la sinema.
Vin & Paul
Vin & Paul
Fast & Furious
Ukiachana na kazi za uigizaji, Paul Walker, Vin Diesel na familia nzima ya Fast & Furious walikuwa ni marafiki wa karibu sana kiasi cha kuchukuliana kama ndugu miongoni mwa waigizaji wa movie hiyo. Mara nyingi muigizaji Vin Diesel amekuwa akimkumbuka mshkaji wake huyo kwa kupost picha mbalimbali za yeye na marehemu Paul Walker huku akiandika maneno yenye ujumbe kupitia mitandao ya kijamii haswa haswa Facebook. Na hii hapa ndio Picha ambayo Vin Diesel alipost hivi karibuni na kuandika maneno yafuatayo:- “There was always moments of child-like-laughter…We had accomplished so much by 2013…P.s. The complexities of Brotherhood, and the painful void…of it’s absence,”