DJ wa kituo cha radio maarufu cha BBC Amtaja Diamond kama msanii wa kumwangalia kwa mwaka 2014

DJ wa kituo cha radio maarufu kwa burudani nchini Uingereza kilicho chini ya shirika la habari la Uingereza, BBC cha BBC Radio 1Xtra, DJ Edu, amemtaja Diamond Platnumz, miongoni mwa wasanii watano wenye dalili za kufanya vizuri barani Afrika mwaka 2014.


DJ Edu



Sio Diamond Plutnumz Pekee aliyetawa bali wasanii wengine waliotabiriwa kufanya vizuri Afrika ni pamoja na Kaysha,(msanii wa DRC aishie Ufaransa), Wyre wa Kenya, Radio na Weasel wa Uganda na King James wa Rwanda.

Bonyeza hapa kumsikia DJ Edu akiwaelezea.

Kaysha


Radio and Weasel




King James




Wyre

Previous Post Next Post

Popular Items