Picha: Arnold Schwarzenegger Real Time and Back in Time Akiwa na Marafiki na Familia yake

Star wa Filamu ambaye kwa hakika Hakuna asiye mfahamu kabisa, katika Tasnia hii ya sanaa ya uigizaji wa Filamu Duniani. Inawezekana hufahafu kuwa ARNOLD ana watoto wa watano ambao ni Patrick Schwarzenegger, Katherine Schwarzenegger, Joseph Baena, Christopher Schwarzenegger, Christina Schwarzenegger na kipenzi chake MARIA. Anorld amezaliwa July 30, 1947 kwa sasa na Miaka 66.

Arnold Amezaliwa Austria, pia hizi ni Baadhi ya kazi anazozifanya Muigizaji, Mwanasiasa, Mfanyabiashara, Mwekezaji, na wa zamani na Bodybuilder kitaaluma. Schwarzeneggeraliwahi vipindi viwili kama Gavana wa 38 wa jimbo la California kuanzia mwaka 2003 hadi 2011.

Movie alizowahi kuigiza ni Terminator: GenesisThe Expendables 3Sabotage,CaptiveUnknown Soldier,PredatorThe Last Stand na Nyingine Nyingi

Hizi ni Baadhi ya Picha za Arnold akiwa na Familia yake na Marafiki zake wadamu

Arnold kwa Sasa Anamiaka 66

 Hapa Arnold akiwa na kipezi chake Maria Shriver

 Schwarzenegger na familia yake: Arnold na Maria na watoto (Kushoto) Christopher, Patrick, Katherine na Christina mwaka 2003

 Wambele ni mtoto wa Arnold 



 Marafiki vipenzi: Bruce Willis, Arnold Schwarzenegger na Sylvester Stallone 'Rambo'

 Bruce Willis, Arnold Schwarzenegger na Sylvester The Expendables in 2010 

Arnold Schwarzenegger(kushoto) Sylvester stallon(katikati) na Bruce Willis(Kulia) The Expendables in 2013 

Credit:=dailymail.co.uk


Previous Post Next Post