Q-Tip na Rick Ruben Ndiye atakayetayarisha albam mpya ya Kanye West

Kanye West anawakusanya maproducer nguli wa muziki kubariki albam yake mpya. Yeezus amewachukua Q-Tipna Rick Rubin kutayarisha albam yake ijayo.



Wakati wa mahojiano Ellott Wilson kwaajili ya Life+Times (via HipHop-N-More), Q-Tip alifunguka: ‘Natengeneza albam mpya ya Kanye nikiwa na Rick Rubin’.

Rick Rubin

December 12, Q-Tip atazindua mixtape yake ya pamoja na Busta Rhymes, The Abstract na The Dragon. Pia anafanyika kazi albam yake ijayo The Last Zulu.



Previous Post Next Post

Popular Items