Picha Ulizozimisi Kutoka Instagram: Wema Sepet Fact 'Mimi Siwezi Kushindana na Diamond Kwasababu Mimi Sio Mwanamuziki

Je wewe ni kati ya wanaoamini kuwa wapenzi ‘wa zamani’ Wema Sepetu na Diamond Platnumz wanashindana kwa namna yoyote? Star wa kipindi cha ‘In My Shoes’ Wema Sepetu ameshare ujumbe kwa wote wanaofikiria hivyo.

Kupitia Instagram ameandika kuwa kitu pekee kinachosababisha watu wahisi hivyo ni kutokana na wote wawili kuwa na mafanikio katika fani zao (muziki na movie), na kuongeza kuwa hawezi kushindana na Diamond sababu yeye sio muimbaji.





Image Via Instagram 
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA