Picha: Rais Obama, Bush, Na Hillary, Wakiwa Safarini Kuelekea Afrika Kusini Ndani ya Air Force One

Chukua Muda wako Kuweza Kutazama picha hIZI za behind the scene wakati wa safari ya viongozi wa Marekani akiwemo Rais Barrack Obama na mke wake Michelle, Rais wa zamani George W. Bush na mkewe, pamoja na mke wa Bill Clinton Hillary walipokuwa ndani ya ndege ya Air Force One wakielekea katika hafla ya kumbukumbu ya Mandela Jumatatu wiki hii.



Obama na Bush ndani ya Air Force One





Hapa Raisi Barack Obama akiwa anaipitia na kuirekebisha hotuba yake aliyoitoa wakati wa hafla ya kumbukumbu ya Mandela

Walipowasili Afrika Kusini


Picha zimepigwa na mpiga picha ikulu ya Marekani Pete Souza.

Previous Post Next Post

Popular Items