KWA MARA YA KWANZA MIMI NDIYE MSANII WA BONGO FLEVA KULETA RED CAMERA KWA TANZANIA 'RICH MAVOKO KUTUMIA ZAIDI YA MIL 10 KATIKA KUSHOOT VIDEO YA ROHO YANGU'

Hitmaker wa ‘Roho Yangu’ Rich Mavoko amesema kuwa yeye ni msanii pekee kuleta red camera nchini ambayo imemgharimu pesa nyingi.


Red Camera




Red Camera

“Nimemchukua director mtanzania ndiye atakaye direct video. Lakini watu watakao shoot video ni wale Waganda na Wakenya. Halafu kwa mara ya kwanza msanii wa Bongo Fleva anayeleta red camera kwa Tanzania ni mimi. Hapa kuileta imenigharimu lakini kwa sababu nilikuwa nataka picha yenye quality. Soon video itatoka nataka nilichokiimba kili-relate na video ndio maana inakuwa inanipa wakati mgumu sitaki nionekane nilichokiimba kiwe kime–oversize video,” Rich Mavoko alikiambia kipengele cha Chumba Cha Sindano cha Kipindi cha Kali za Bomba cha redio Bomba FM, Mbeya.



Rich Mavoko

“Itagharimu hela nyingi kama milioni 10 na kitu mpaka sasa hivi kwa hiyo bado hatujamaliza baadhi ya shot za mwisho mwisho baada ya hapo nitapata bajeti nzima. Kuna watu inabidi tuwachukue, magari tuyachukue na kuna baadhi ya location bado hatujaenda kuchukua,” aliongeza.

Red Camera ni Kamera ya Aina Gani

The RED ONE camera is a 4K digital cinema camera. It is initially aimed at Cinema syle shooting, meaning that it is in many ways like a traditional film camera. It uses traditional film lenses and other film hardware including matte boxes and follow focus systems. But instead of shooting film it shoots digitally. It shoots at a resolution several times higher than high definition, making it more suitable for theatrical release. It’s larger sensor and ability to use film lenses gives the image a more traditional cinematic look than most HD as well. It records to hard drives or Compact Flash memory. Footage can be downloaded to a computer from the hard drive, via Firewire 800, Firewire 400 or USB. The Compact Flash memory can be used in any Compact Flash reader. The software required to convert the footage is freely available from www.red.com.

Previous Post Next Post