Emmanuel Msuya jana alitawazwa mshindi wa shindano la Bongo Star Search 2013 kwenye fainali iliyofanyika kwenye ufukwe wa kiota cha Escape 1 jijini Dar es Salaam. Msuya aliwabwaga wapinzani wake wanne Elizabeth Mwakijambile,Amina Chibaba,Maina Thadei na Mellisa John. Kutokana na ushindi huo, Msuya alijishindia zawadi ya shilingi milioni 50.

Emmanuel Msuya na Elizabeth Mwakijambile wakisubiri kutajwa mshindi kati yao
Amina Chibaba akiwa stejini
Elizabeth Mwakijambile mshiriki wa EBSS 2013 aliyekamata nafasi ya pili
Top 5 wakitumbuiza

Peter Msechu akitumbuiza na washiriki walioingia 5 bora
Amina Chibaba
Elizabeth
Emmanuel Msuya

Mellisa John
Rapper Kimbunga akitumbuiza

Young Killer akiimba wimbo wake Mrs Superstar
Madam Rita na Master Jay wakiwa katika meza ya majaji
Majaji wa fainali za EBSS 2013 kutoka kushoto Banana Zorro, Madam Rita na Master J wakifuatilia fainali hizo
Makomando wakifanya show
Mshindi wa EBBS 2013 Emmanuel Msuya
Mellisa John
Mshiriki wa EBSS Maina Thadei
Shaa akiwapa mashabiki wake ladha ya live ya wimbo wake Sugua Gaga
Mamcee wa show Siza na TJ
Snura akiwa jukwaani
Wanakitivo Saldado (kushoto), Barnaba (kati) na Fid Q
Washiriki walioingia tano bora wakijiandaa kwenda kutoa burudani
Washiriki walioingia tatu bora kutoka kushoto ni Elizabeth Mwakijambile, Emmanuel Msuya na Mellisa John

Emmanuel Msuya akiwa ameshika briefcase yenye shilingi milioni 50

Msuya afurahia baada ya kutangazwa kuwa yeye ndo mshindi

IMAGE CREDIT NA BONGO5.COM
Tags:
EBSS 2013