NEW MUSIC: SULTANI WA PWANI - UMEKULA HUU

Sultan wa pwani ni msanii mwenye uwezo wa kuimba na kuchana pia vilevile kwa sahiv amerudi tena na kibao kipya kwa jina umekula huu. Chini ya studio za thundersound producer akiwa ni morbiz. Mtindo ukiwa ni wa tofauti na pia ubunifu wa hali ya juu. Wimbo unaongelea mtu kakudharau
af mambo yakiwa yananyokea kidogo anaanza kama kujipendekeza kwako.Fanya kuupa skio na shavu mdau. Nashkuru sana.



Previous Post Next Post

Popular Items