Picha: Hemedy Suleiman aalikwa nchini Zambia kuigiza filamu ya kumuenzi Marehemu Steven Kanumba

Msanii wa filamu Hemedy Suleiman aka PHD amealikwa kufanya filamu iitwayo ‘Tangled Mess’ na mastaa wa Zambia akiwemo shiriki wa BBA 8, Sulu Banda,mwanamuziki mkongwe wa Zambia Moureen Lilanda na Dj mkongwe wa Zambia DJ Yahya Kiba kwa ajili ya kumuenzi Kanumba.

Hemedy akiwa na balozi Tanzania nchini Zambia pamoja na wadau wengine

Hemedy alikuwa mjini Lusaka December 6 mwaka huu kufanya filamu hiyo na kufanikiwa kwenda kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Zambia.

 Hemedy akiwa na balozi wa Tanzania nchini Zambia


Source:majoy 
Previous Post Next Post