Picha; Dimond Atoa Support kwa Watoto waishio Katika Mazingira Magumu kwa Kumnunulia Mama yake Bidhaa wanazozitengeneza Watoto Hao.

Baada ya Dioamond Kushiriki nao chakula cha Mchana watoto waishio katika mazingira Diamond Alipata Kutembelea Maeneo tofauti yaliyopo ndani ya kituo hicho, Moja ya Eneo Muhimu alilopelekwa ni Sehemu amabayo watoto hao Hufanyia shughuli zao za uzalishaji, Ambapo ilimlazimu Diamond kuwaunga mkono watoto hao waishio katika mazingira magumu kwa kuamua kumnunulia mama yake bidhaa hizo ambazo zinatengeneza na Watoto hao.  Hii Ikiwa inamaanisha watoto hao Hupewa Mafunzo kwa kla mmoja na kutegemea mtoto anakipaji gani

Tazam Picha hizi hapa chini Kujionea zaidi










Mlezi wa Kituo Hicho Akimfahamisha Jambo Diamond Juu ya Shughuli wanazofanya watoto hao katika kituo icho.

Image Credit via: Wasafiblog 



Previous Post Next Post

Popular Items