Picha: Hemedy Amaliza Kushoot Filamu ya ‘Tangled Mess’ Aliyoshoot na Mastaa Kutoka Zambia

Msanii wa filamu na mwanamuziki wa bongoflavour Hemedy Suleiman aka PHD amerejea Dar es Saalam hapo juzi kutoka Zambia alikoalikwa kutengeneza filamu iitwayo ‘Tangled Mess’.

Pamoja na Hemedy, filamu hiyo ya kumuenzi Kanumba imehusisha wasanii mbalimbali wa Zambia akiwemo Cassie Kabwita, mshiriki wa BBA 8, Sulu Banda,mwanamuziki mkongwe wa Zambia Moureen Lilanda na Dj mkongwe wa Zambia DJ Yahya Kiba.

                                                Hemedy akiwa Airport hapo jana akijerea Dar

                                               Hemedy akiwa katika pozi na wenzake













Previous Post Next Post